#Exclusive: Omotola wa Bongo “Nimezaa na Mnigeria” – Video
GLOBAL TV Online imefanya mahojiano na mrembo Lulu ambaye amekuwa akifananishwa na nguli wa tasnia ya Filamu nchini Nigeria, Omotola, ambapo amekiri ndoto yake kubwa kuonana na staa huyo.
Hapa nimekuwekea mahojiano hayo…
