Simba Yagomea Ofa Ya Onyango.. Adaiwa Kuandika Barua ya Kuomba Kuondoka
UONGOZI wa Simba, umegomea ofa kutoka Klabu ya Gor Mahia ya nchini Kenya ambayo imeonesha nia ya kumuhitaji beki wa timu hiyo, Joash Onyango.
Hiyo ikiwa ni siku chache tangu tetesi zizagae za beki huyo raia wa Kenya, kuandika barua…
