Mama Afanyiwa Oparesheni Mara Tano, Utumbo Watoka Nje
HUJAFA hujaumbika! Hii ni kauli iliyojaa simanzi ya mwanamama Khadija Abrahmani, mkazi wa Tandale Sokoni jijini hapa kutokana na maradhi ya tumbo yanayomsumbua baada ya kufanyiwa oparesheni tano kisha utumbo kulegea.
…
