Kigogo Afanya Tukio La Kutisha Dar! Adaiwa Kumfungia Mke Wake Ndani Kwa Miaka 5
Karani wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Grace Mwakabuta anayedaiwa kufungiwa miaka mitano mmoja ndani na mume wake Gideon Mwakabuta.
Imeandikwa; Hamida Hassan na Imelda Mtema Gazeti la Amani, Januari 5-11 | 2016 Toleo Na 946…
