Kenya Kuingiza Sokoni Mabasi ya Umeme
Kampuni ya kutengeneza vyombo vya moto vinavyotumia umeme nchini Kenya ya Opibus imetangaza kujiandaa kuingiza sokoni mabasi mapya ya umeme yanayotengenezwa nchini Kenya.
Kampuni hiyo inayomilikiwa na Wakenya kwa ushirikiano na…
