TikTok Yaikataa Microsoft, Yaungana na Oracle
WASHINGTON: Kampuni ya Marekani ya Oracle imeikataa Kampuni ya Microsoft na kuingia makubaliano ya ushirikiano wa kibiashara (Business Partner) na kampuni ya China inayomiliki Mtandao wa TikTok, hii ni baada ya Rais Donald…
