Yanga Yakubali Kuishangilia Simba Uwanja wa Mkapa leo Dhidi ya Orlando
UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umesema leo Jumapili utakuwepo kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, kwa ajili ya kuisapoti Simba itakapokuwa inacheza dhidi ya Orlando Pirates.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa…
