The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

osama

Mamake Osama Bin Laden Afunguka

Mamake kiongozi wa al-Qaeda Osama Bin Laden amezungumza hadharani kwa mara ya kwanza , miaka saba baada ya kifo cha mwanawe mwaka 2011. Alia Ghanem alifanya mahojiano na gazeti la The Guradian katika nyumba ya familia hiyo…

Marekani Kumsaka Mtoto wa Osama

Marekani imesema kuwa imemuorodhesha mtoto  wa mwisho wa Osama Bin Laden, Hamza, katika orodha ya magaidi wanaosakwa na taifa hilo. Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imesema kuwa Hamza Bin Laden ameanza kushiriki katika maswala ya kundi…