Orodha ya Washindi wa Tuzo za Oscars 2021
Usiku wa kuamkia leo zimefanyika tuzo za 93 za Oscars/ Academy Awards mwaka 2021, kuwatambaua waliofanya vizuri kwenye kiwanda cha filamu duniani. Filamu ya 'Nomadland' imeshinda tuzo nyingi zaidi (3) kati ya vipengele 6 ambavyo ilikuwa…
