Otile Brown Kinara YouTube Kenya
SUPASTAA wa muziki kutoka nchini Kenya, Otile Brown ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza wa Kenya kupata idadi ya wafuasi (Subscribers) milioni 1 kwenye mtandao wa YouTube.
Otile ambaye alijiunga na mtandao huo Aprili…
