Lulu: Kama Ndoa Amepanga Mungu Ipo Tu!
STAA wa sinema za Kibongo ambaye pia alikuwa msanii wa kwanza kuigiza akiwa na umri mdogo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, kwa mara ya kwanza amefunguka kila kitu chake hadharani ambacho wapenzi wake wengi wamekuwa wakijiuliza bila majibu.…
