Oya masela kuwadi wa waifu wa maskini ni hazibendi wake!
Mambo vepe wanangu wenyewe? Ndo kama hivo Saa Godi ametufikisha salama kwenye kukikata kitu cha mwaka so tunapaswa kumpigia saluti nini na nini ili kuonesha kumkubali kuwa ye ndo mpango mzima. Mpo hapo washkaji zangu wa ukweli? Kama vepe…
