Oya mwana usiringie uzuri, ringia bahati
Inakuwa nene masela wangu? Kipande hii ni mzuksi kichizi arifu. Kama vipi welikamu kwa sana kwa fasi ya hapa jamvini tukisanue mazee ama nini! Basi sawa.
Wanangu kuna ishu zingine hazihitaji mtu kuwa machi noo kozi kuna pipo ni mamasta…
