Oya mwanangu chura anamaindi maji lakini siyo ya moto!
Oya masela inakuwaje watu wangu wa nguvu? Tudei kama nina kiraruraru hivi maana mizuka ipo juu kinoma. Kitaa hiyo ni mpango? Basi welikamu kwa sana kwenye hizi stori kozi ni tamu kiaje sasa? Kama kawiz niwakumbushe wanakwetu kuwa kitu cha…
