P Mawenge Aachia Ngoma Yake Mpya ‘UNGENIAMBIA’ – Video
MSANII wa Bongo Fleva, P Mawenge (P The MC), ameachia wimbo wake mpya uitwao "UNGENIAMBIA" ambao tayari upo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na platforms za muziki duniani.
P The MC ambaye ni heat maker wa ngoma ya Mitaa…
