May D: P Square Hawakuwahi Kunilipa
MSANII aliyefanya kazi kwa ukaribu na kwa muda mrefu na mapacha wanaounda Kundi la P Square, Peter na Paul Okoye, May D amejitokeza hadharani na kuibua jambo lililoshangaza wengi;
Amesema; “P Square hawakuwahi kunilipa, niamini…
