Simulizi Ya Muuza Madawa Maarufu Pablo Escobar
Sehemu ya kwanza
PABLO NI NANI?
Katika milima inayotazamana na mji wa Medellín nchini Colombia, yapo majengo ya kifahari kabisa ndani ya milima hiyo ambayo kwa sasa majengo haya yanatumika kama nyumba ya watawa wa Kanisa Katoliki…
