Mrithi wa Pablo Simba Apewa Masharti Mazito, Akubali Kufanya Vizuri Kimataifa
IKIWA kwa sasa Simba wanasaka nafasi ya mrithi wa Pablo Franco aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, mabosi wa timu hiyo wamebainisha kwamba kocha ajaye lazima awe na ubora na akubali kufanya vizuri kimataifa.
Pablo…
