Pablo Mari Atua Kufanya Vipimo Arsenal
BEKI Mhispania, Pablo Mari, alisafiri hadi London juzi Ijumaa kwa ajili ya kufanya vipimo Arsenal, kwa mujibu wa taarifa.
Picha moja ilionekana kwenye Twitter ikimuonyesha Mari akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi wa Ufundi wa…
