Pablo Masai kuvuta jiko soon
Na Issa Mnally, Risasi
DAR ES SALAAM. Mwanamuziki nyota wa FM Academia, Pablo Masai wakati wowote kuanzia sasa ataoa baada ya hivi karibuni kumvalisha pete ya uchumba, mpenzi wake wa muda mrefu, Shubi Peter.
Katika hafla iliyofanyika…
