Mshahara Kocha Mpya Simba Kufuru, Amfunika Pablo, Ishu Yake Ipo Hivi… Soma Hapa
BAADA ya mabosi wa Simba kukamilisha mazungumzo na Kocha wa APR ya Rwanda, Mohammed Erradi Adil raia wa Morocco, imebainika kuwa, mshahara wake ni mkubwa kuzidi wa aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Pablo Franco raia wa Hispania.…
