Aliyeua Watu 59, Kujeruhi 527 Las Vegas Alikuwa Bilionea
MTU ambaye Jumapili iliyopita usiku aliua watu 59 na kujeruhi 527 kwa bunduki jijini Las Vegas, Marekani, alikuwa ni tajiri mkubwa ambaye alikuwa amejaza bunduki 23 kwenye chumba chake cha hoteli ya Mandalay Bay ambacho alikigeuza kuwa…
