Polisi Dar Wamnasa Muuzaji wa Mishikaki ya Paka
HATARI! Njemba mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Sadiki, ambaye ni muuza mishikaki katika eneo lililo karibu na jengo la Kibo Complex, Tegeta jijini Dar amenaswa na polisi kwa tuhuma za kukutwa akiuza mishkaki ya paka.
…
