Kabudi: Dawa ya Madagascar Inafanyiwa Utafiti Kwanza – Video
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi, amesema yeye na wenzake waliokwenda Madagascar kuchukua dawa ya kupambana na maambukizi ya virusi vya corona yanayosababisha ugonjwa wa Covid-19,…
