Mzozo wa Israel na Palestina: Idadi ya Waisraeli waliouawa yafikia 1200
Idadi ya vifo nchini Israel imeongezeka hadi 1200, shirika la utangazaji la umma la Kan limesema. Waathirika walikuwa raia, iliongeza.
Wakati huo huo Wizara ya Afya ya Palestina imesema watu 770 wameuawa katika Ukanda wa Gaza tangu…
