JPM Aongoza Kikao cha NEC, Pallangyo Apitishwa Jimbo la Nassari
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi, Dk. John Pombe Magufuli pamoja na Kikao cha Kamati Kuu kimemteua, John Danielson Pallangyo kuwa mgombea wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Arumeru.
Tume ya Uchaguzi ilitangaza uchaguzi wa…
