Wasiojulikana Wavamia Ofisi ya Mtendaji Dar, Wamuua kwa Mapanga
Mauaji ya kutisha yametokea eneo la Mbezi Msumi mkoani Dar es Salaam baada ya watu wasiofahamika kudaiwa kuvamia ofisi za Serikali ya Mtaa wa eneo hilo na kisha kumuua Ofisa Mtendaji kwa kumkata na panga.
Tukio hilo la…
