DC Zanzibar Awasaka Vijana Wenye Rasta, Panki
MKUU wa Wilaya ya Mjini (Zanzibar), Rashid Msaraka, ameanza operesheni ya kuwanyoa nywele vijana wenye umri chini ya miaka 18 wanaofuga rasta (dreads) na wanaonyoa panki.
Amesema ikiwa wanaitaka mitindo hiyo ya nywele…
