Papa Francis Afanya Maamuzi Magumu Kuhusu Unyanyasaji wa Kingono
Papa Francis ametangaza mabadiliko makubwa kwa jinsi Kanisa Katoliki linavyoshughulikia kesi za unyanyasaji wa kingono kwa watoto na kukomesha kanuni ya "usiri" ambayo iliwaficha makasisi waliokuwa wakitenda vitendo hivyo hapo awali.…
