Pape Ousmane Sakho Ashinda Tuzo ya Goli Bora la Mwaka katika Usiku wa Tuzo za CAF Nchini Morocco
KIUNGO Mshambuliaji wa Klabu ya Simba Pape Ousmane Sakho, ang’aa kwenye usiku wa utoaji wa tuzo za Shirikisho la Mpira barani Africa CAF baada ya kujinyakulia tuzo ya goli bora la mwaka.
Goli hilo ambalo limefanya Sakho ashinde tuzo…
