The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

papii kocha

Baharia Papii Kocha, mrembo live

JAPO inaaminika kuwa neno Baharia ni mtu anayefanya kazi kwenye chombo cha usafiri majini, hasa baharini kama vile boti, mashua, jahazi au meli lakini usemi huu umekuwa maarufu na kubadilishwa maana yake kwa kasi ambapo tafsiri isiyo rasmi…

PAPII KOCHA KURUDI NGWASUMA

MKONGWE wa Muziki wa Dansi, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ amesema kuwa anatarajia kujiunga na Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ aliyokuwa akiitumikia kabla ya kupatwa na majanga ya kifungo cha maisha na baadaye kupata msamaha wa…

MTOTO WA PAPII, UTATA WAIBUKA!

DAR ES SALAAM: Wabongo sio watu wazuri kabisa! Siku chache baada ya msanii wa Muziki wa Dansi, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ kutangaza kupata mtoto, Wabongo si wameibuka bwana na kudai eti si wake! Risasi Jumamosi linakuletea ubuyu…

MASTAA WAIFAGILIA TWANGA PEPETA

MASTAA mbalimbali Bongo, hivi karibuni wameifagilia Bendi ya The African Starz ‘Twanga Pepeta’ kutokana na juhudi zake za kurudisha msisimko wa Muziki wa Dansi nchini kama ilivyokuwa hapo awali. Akifungua duru juu ya kukunwa na bendi…

PAPII KOCHA YALIYOPITA SI NDWELE

MWANAMUZIKI mahiri wa dansi Bongo, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ ambaye sauti yake ilimisika kwa muda kwa miaka 14, amefunguka kuwa, hataki kabisa kuzungumzia yaliopita kwani si ndwele, badala yake anaangalia mambo ya mbeleni zaidi.…