Tshishimbi Kufanya Mambo
NAHODHA wa Yanga, Mkongo Papy Kabamba amejipanga kushinda dhidi ya Township Rollers na akasisitiza wanahitaji kupata mabao ya mapema zaidi kwenye mchezo huo ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele.
Yanga Jumamosi…
