Fuvu la Binadamu la Miaka Milioni 2 Lafukuliwa
Watafiti kutoka Australia wamesema wamegundua fuvu la binadamu lenye miaka milioni mbili nchini Afrika Kusini ambalo litatoa ufahamu zaidi kuhusu mabadiliko ya binadamu.
Fuvu hilo ni la mwanamme linaloitwa Paranthropus Robustus,…
