Tanzia: Paroko Mbiku UDSM Afariki Dunia
Wapendwa Mapadri, Mashemasi, Watawa na taifa lote la Mungu, Kristo.
Kwa masikitiko makubwa napenda kuwataarifu juu ya kifo cha Padri wetu mpendwa Monsinyori Deogratias Hukumu Mbiku wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, aliyekuwa…
