RIPOTI KUTOKA INDIA ..PASCAL CASSIAN TAA YA KIJANI
KAMA wewe ni shabiki wa muimbaji wa muziki wa Injili aliyewahi kuwa mshindi katika Shindano la Bongo Star Search ‘BSS 2009’ Pascal Cassian, taarifa mpya ikufikie kwamba, taa ya kijani imemuwakia ikimaanisha kwamba, hali yake inaendelea…
