Mchungaji Kizimbani kwa Kufoji Pasipoti
Arusha: Idara Uhamiaji mkoa wa Arusha imewapandisha kizimbani watu watano,akiwamo mchungaji wa kanisa la Pentecostal kwa kosa la kufoji hati ya kusafiria.
Akizungumza na wanahabari jana, Ijumaa, Ofisa uhamiaji mkoa wa Arusha,Ally…
