Pata punguzo la tiketi za Diamond Dar Live
Mwandishi wetu
KAMPUNI ya simu za mkononi, Airtel kupitia huduma yao ya kijanja kimawasiliano ya Airtel Money Tap Tap wanakuletea punguzo la bei za tiketi za kumshuhudia staa wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz,…
