VIDEO | Tekno – On You (Official Video)
'On You' ni video mpya toka kwa msanii Tekno toka Nigeria, imekuja baada ya masaa 24 kuiachia audio ya wimbo huo.
Audio imefanywa na Mix Monster, huku Video imeongozwa na Patrick Elvis.
…
