Ombaomba Bado Wanatesa Jiji la Makonda
Ombaomba ambao ni wasichana wadogo, wakipita kuomba katika magari yaliyokuwa katika foleni jijini Dar.
LICHA ya mara kadhaa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kuwapigia kelele ombaomba akiwataka waondoke jijini Dar es Salaam, …
