Yanga Wampigia Simu Muuaji wa Simba SC
MSHAMBULIAJI wa Mbeya City, Paul Nonga, amefichua kuwa kitendo cha kufanikiwa kuwafunga Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, kimesababisha apokee simu nyingi za pongezi, zikiwemo za baadhi ya watu wa Yanga.
Nonga, ambaye…
