Paula Kajala Awachana Wateja Wake “Hebu Kuweni Serious Nyie, Mnasikitisha…”
PAULA Kajala; ni mrembo maarufu nchini Tanzania ambaye amewachana baadhi ya wateja wake wanaodai anauza nguo zake bei ghali katika duka lake alilofungua hivi karibuni.
Baadhi ya wateja wanalalamika kwamba, kwenye duka hilo…
