The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

PAULA

Fahyma: Simchukii Paula

HATIMAYE Fahyma ameanza kulegea na kukubali yaishe; amebariki laivu penzi la baby daddy wake, Rayvanny na Paula Kajala. Kwa mdomo wake, Fahyma amesema; “Simchukii Paula hata kidogo…” Fahyma ambaye ni mwanamitindo na…

Paula Hataki Kumkosa Rayvanny

MREMBO Paula Paul almaarufu Paula Kajala; mpenzi wa staa wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa au Rayvanny anaamini kwamba, riziki ni riziki tu kama Mungu amempangia binadamu na maisha hayampi mtu kitu bora mara mbili isipokuwa hutokea mara…

Kajala Ampa Gwala Mkwe Wake

MAMA mzazi wa mpenzi wa Rayvanny, Paula ambaye pia ni staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja ameendelea kuonesha support kubwa kwa mkwe wake, Rayvanny, mara baada ya Rayvanny kumtambulisha Macvoice kama msanii wa kwanza katika lebo yake…