Beki Simba: Ubingwa Bado ni Mgumu “Kwa sasa Huwezi Kusema Nani Atakuwa Bingwa”
BONIPHACE Pawasa, beki wa zamani wa kikosi cha Simba, amesema kuwa kwa sasa bado vita ya ubingwa ni ngumu kutokana na kila timu kuhitaji kushinda.
Ni mbio za mafahali wawili kati ya Yanga ambao ni vinara pamoja na Simba…
