Hatimaye Sanchez atua Inter Milan
HATIMAYE Alexis Sanchez ametua jijini Milan kukamilisha dili la kujiunga na Inter Milan kwa mkopo akitokea Manchester United.
Sanchez ametua jijini hapo baada ya kudumu United kwa miezi 18 akiwa hana mafanikio makubwa…
