ASKARI MAGEREZA MBARONI KWA KUKUTWA NA MENO YA TEMBO
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limemkamata askari magereza Cosmas Ndasi wa Gereza la Msalato jijini Dodoma akiwa na vipande sita vya pembe za ndovu zenye thamani ya Tsh milioni 103.5 akisubiri mteja kwa ajili ya kufanya biashara.
…
