Binti wa Miaka 21 Akutwa na Meno ya Tembo – Video
JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji limewakamata watu wawili (mwanamke mwenye umri wa miaka 21 na mwanaume mwenye umri wa miaka 40) wakiwa na nyara zinazodhaniwa kuwa ni meno ya tembo vipande 16 vyenye uzito wa kilo 25 ambapo thamani…
