Mgombea Mwenza wa Trump Apata Ajali ya Ndege
Mr Pence (kati) azungumza na wazima moto LaGuardia MAREKANI: Mgombea mwenza wa Donald Trump kupitia Chama cha Republican kwenye kinyang'anyiro cha urais nchini Marekani, Mike Pence amenusurika kifo baada ya ndege iliyokuwa imembeba…
