Siyo bahili, pengine tatizo ni kipato!
Karibuni wapenzi wa Jamvi la XXLove katika Jumatatu nyingine kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Mada ya leo itazungumzia namna ambavyo baadhi ya wapenzi wamekuwa wakiwalaumu wenza wao kuwa ni wabahili bila kuangalia uhalisia wa kipato, maisha na…
