Penny azimia ndani ya gari, ala mzinga
Muonekano wa gari hilo baada ya kugongwa.
Stori: Imelda Mtema, Wikienda
Dar es Salaam: Bidada yamemkuta! Mtangazaji wa Zuku TV, Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’ amekumbwa na mkasa mwingine baada ya gari lake kupigwa mzinga maeneo ya…
