Penny Mungilwa Nyumbani kwake kuna klabu ndogo
Mtangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’.
SIKU zote hapa huwa tunawatembelea mastaa mbalimbali nyumbani kwao. Leo tunaye Mtangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’ anayeishi maeneo ya Mwananyamala jijini Dar.
Anaipenda nyumba yake. Ameidizaini…
